DOWNLOAD NEW MUSIC AUDIO: GOSBY FT VANESSA MDEE & JUX–MONIFERE

clip_image002Huu ni ujio mwingine mpya kutoka kwa GOSBY aka Swaghili msanii anayetoka kwenye lebo yenye vichwa vikali pale BHITS MUSIC GROUP.

Gosby hapa amekuja na wimbo wake alioupa jina la MONIFERE akiwa na maana ya NAKUPENDA na ndani ya songi hili amewashirikisha wasanii wenzake kama Vanessa Mdee pamoja na Jux.

Wimbo huu umetengenezwa na kusimamiwa na maproducer watatu, mmoja anaitwa Randy yeye makazi yake ni Nairobi ndio aliyesuka beat hili, mastering ni Hermy B na aliyesimamia mavoco pamoja na vikolombwezo vingine ni Pancho Latino... Enjoy

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post