KIBONDE APATA AJALI MLIMAANI CITY

clip_image002Ephraim Kibonde akishuka kwenye gari baada ya ajali...Akilikagua gari lake.Trafiki akiwa eneo la ajali.Gari la Kibonde likiwa eneo la ‘round about’ ya kuelekea Mlimani City baada ya ajali.Fundi akirekebisha gari hilo baada ya ajali.

Mtangazaji wa Clouds FM, Ephraim Kibonde amepata ajali ya gari leo asubuhi  katika barabara ya Sam Nujoma kwenye ‘round about’ ya kuelekea Mlimani City. Gari alilokuwa anaendesha Kibonde aina ya Toyota Carina lenye nama za usajili T 733 BVE limeharibika kwa mbele katika ajali hiyo.

(Picha: Chande Abdallah / GPL)

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post