BREAKING NEWS: FACEBOOK FAN PAGE YA KALA JEREMIAH IMEIBIWA HIVYO KUWA MWANGALIFU

clip_image001Habari wadau woote naomba kuwathibitishia kuwa mimi kala jeremiah page yangu ya facebook imeibiwa na matapeli wa kwenye mitandao na wameshaanza kuitumia wameanza kwa kutoa tangazo la mikopo kwa hiyo siyo mimi ni matapeli. Inauma sana kuona nimehangaikia page hii mpaka hapo ilipofikia ina like zaidi ya 52, 000 watu zaidi ya elfu hamsini na mbili.nimeamua kuanzisha page mpya ndo naishughulikia sasa inaitwa KALA 0444 poleni sana kwa usumbufu. ni mimi rafiki yenu kala jeremiah.

SOURCE: BONGOSTARLINK

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post