RAIS KIKWETE AZINDUA KIWANDA CHA AZAM COLA MKOA WA PWANI

clip_image002Rais Kikwete akiwa na Mwenyekiti wa Makampuni ya S.S. Bakhresa, Alhaj Sheikh Said Salim Awadh Bakhresa na mkewe Mama Salma KIkwete. Kulia kwake ni Dk Abdallah Kigoda.clip_image002[5]Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete akisikiliza taarifa kuhusu kiwanda cha Azam Cola, kinachomilikiwa na kampuni ya S.S. Bakhresa Group kilichopo eneo la Mwandege, Mkuranga, mkwani Pwani mchana wa leo wakati hafla maalum ya uzinduzi wa kiwanda hicho .Rais Kikwete alijionea shughuli nzima za uzalishaji hadi upakiaji kiwandani hapoRais Kikwete akitalii kiwandani hapo, akiwa ameambatana na mkewe Mama Salma Rais Kikwete akihutubia kiwandani hapo.

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post