Hii ndio Benz ya Madam Ritha iliyoteketea kwa Moto jana usiku. Hadi sasa haijafahamika chanzo cha tatizo kilichosababisha gali hilo kuungua moto..
Gari hilo limeteketea kwa moto mtaa wa UDASA katika barabara ya Chuo Kikuu Jijini Dar es Salaam
Endelea kuwa nasi tutakujuza muda si mrefu
Tags
WATU MAARUFU