Mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya wilaya ya Kilwa, mkoa wa Lindi, Ado Mapunda akihutubia kwa niaba ya mkuu wa wilaya hiyo, Abdalah Ulega kabla ya uzinduzi wa kampeni ya kuhamasisha shughuli za mfuko wa afya ya jamii (CHF) wilayani humo kwenye uwanja wa Mkapa Garden, kulia kwake ni Mwenyekiti wa mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya, Balozi Ali Mchumo na Kulia kwake ni makamu mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya Kilwa,Rafih Kuchao.
Mwenyekiti wa mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya, Balozi Ali Mchumo akikabidhi msaada wa masanduku ya kuhifadhia fedha Mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya wilaya ya Kilwa, mkoa wa Lindi, Ado Mapunda kw a ajili ya kuifadhia fedha za CHF kwenye zahanati za halmashauri hiyo makibidhiano hayo yalifanyika wakati uzinduzi wa
kampeni ya kuhamasisha shughuli za mfuko wa afya ya jamii(CHF) wilayani.
Mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya wilaya ya Kilwa, mkoa wa Lindi, Ado Mapunda akikata utepe kwa niaba ya mkuu wa wilaya
hiyo, Abdalah Ulega kuashiria uzinduzi wa kampeni ya kuhamasisha shughuli za mfuko wa afya ya jamii (CHF) wilayani humo kwenye uwanja wa Mkapa Garden, kulia kwake ni makamu mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya Kilwa, Rafih Kuchao na kushoto
kwake ni Kaimu mkurugenzi wa NHIF,Hamisi Mdee.
Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri ya wilaya ya Kilwa,mkoa wa Lindi,Ado Mapunda akipimwa kipimo cha shinikizo la damu wa uzinduzi wa kampeni ya kuhamasisha shughuli za mfuko wa afya ya jamii(CHF).
Katibu tawala wa wilaya ya Kilwa,Simeoni Manjulungu akipima afya
yake uliotolewa na mfuko wa taifa wa bima ya afya iliyotolewa siku ya uzinduzi wa kampeni ya kuhamasisha shughuli za mfuko wa afya ya jamii(CHF) wilayani humo kwenye uwanja wa Mkapa Garden.
Picha na Christopher Lilai