20 PERCENT AFIWA NA BABA YAKE MZAZI

clip_image001Msanii 20 Percent amefiwa na baba yake mzazi Khamis Kinzasa na mazishi yafanyika leo nyumbani kwa 20 Percent saa saba mchana.

Haya ni maneno ya Afande Sele kupitia ukurasa wake facebook siku ya jana “Taarifa za kusikitisha nilizopata jioni hii nikiwa hapa Dsm, Mzee Khamis Kinzasa ambaye ni baba mzazi wa Abasi Khamis Kinzasa maaurufu kama 20% amefariki,

mazishi yatafanyika nyumbani kwake kimanzichana kesho saa saba Mchana, Pole mdogo wangu Asilimia, ndugu, wajukuu na wanafamilia wote, Mungu ampumzishe pema Baba Yetu”

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post