Kamera ya Globu ya Jamii ilimnasa mwanamama huyu ambaye jina lake halikuweza fahamika mara moja,akipanda kwenye Lori wakati akitoka kijiji kimoja kwenda kingine Wilayani Karatu,Mkoani Manyara.
PICHA YA SIKU: MWANAMAMA ADANDIA LORI KAMA DUME
byUnknown
-
0