ZIARA YA WAREMBO REDD'S MISS TANZANIA 2013 KIWANDA CHA TBL ARUSHA

clip_image002Warembo wanaowania taji la Redds Miss Tanzania, bado wapo katika ziara, baada ya kuangalia vivutio vya utalii, jana wametembelea kiwanda cha Kampuni ya bia TBL, ambao ni wadhamini wakuu wa shindano hilo.

PICHANI: Mtaalamu wa Upishi wa Pombe kutoka Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) Tawi la Arusha, Jacob Mgowe akiwaonesha hapa mzunguko wa bia kutoka kwenye mtambo baada ya bia kupikwa, kuiva na kuwekwa kwenye chupa na kisha masanduku kupikwaHapa wakiendelea kuangalia mandhariMaelekezo yakiendelea...Afisa Usalama mahali pa kazi wa Kampuni ya Bia Tanzania Tawi la TBL Arusha, Heavy Kasena akiwapa maelezo ya shughuli mbalimbali zinazofanywa na Kiwanda hicho cha TBL mjini Arusha warembo wa wanaowania taji la Redds Miss Tanzania 2013 walipotembelea kiwanda hicho janaBaadhi ya washiriki wa shindano la Redd’s Miss Tanzania 2013 wakicheza mziki mara baada ya kumaliza ziara ya kutembelea kiwanda cha Bia Tanzania (TBL) mkoani Arusha jana.

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post