VIDEO GAME: PLAYSTATION 4(PS4) YATEGEMEA KUIPIGA BAO XBOX ONE

clip_image002Nchini Marekani, Haswa watu wa Jiji la San Francisco wanapendelea ujio wa PlayStation 4 ya Kampuni Ya Sony zaidi, kuliko ujio wa X Box kutoka Kampuni ya Microsoft, Takwimu za maoni ya watumiaji Video Games zimeonyesha kwamba Asilimia 26 ya watu 1,297 online wamependelea kununua PlayStation 4 kipindi itakapotoka rasmi na Asilimia 15 wamechagua kununua X Box One…

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post