TAZAMA PICHA ZA DIAOND ALIVYOPIGA SHOW YA KUFA MTU JIJINI MWANZA, NDANI YA UKUMBI AWA GOLD CREST HOTEL

clip_image002Baadhi ya akina dada waliokuwa wakifurahia muziki mzuri wa asali ya Warembo,Diamond alipokuwa akitumbuiza usiku wa jana ndani ya hoteli ya Gold Crest jijini Mwanza.Mzee wa Ngololo Ngololo,a.k.a Diamond Platnum akiimba sambamba na mwanamuziki wa bendi ya Sky Light usiku wa jana ndani ya hoteli ya Gold Crest jijini Mwanza.Diamond kimapozi zaidi ya kimuziki kwa mashabiki wake.Diamond akicheza na mashabiki wake mtindo wake mpya wa ngoloo ngoloo.Diamond akiimba huku Mkurugenzi wa Skylight Entertaiment,Sebastian Ndege akionekana kufuria muziki muzuri.Baadhi ya Mashabiki wakiburudishwa na mwanamuziki nyota anayetamba kwa sasa kwenye anga ya muziki wa bongofleva,Diamond ndani ya hotel ya Gold Crest usiku wa kuamkia leo jijini Mwanza.

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post