KIKWETE ASEMA “TUMETIMIZA SEHEMU YA MALENGO YA MILENIA ,YALIYOSALIA TUNAPAMBANA”

clip_image001

Na Joseph Msami Radio Umoja wa Mataifa

Rais wa Tanzania Jakaya Kikwete amesema kwa sehemu kubwa utekelezaji wa maendeleo ya milenia umefanikiwa nchini mwake licha ya kwamba yako malengo ambayo bado hayajafanikiwa matahalani usafi wa mazingira na kuanisha mipango iliyopo katika kuyatimiza.

Katika mahojiano maalum na Joseph Msami wa Idhaa ya Kiswahili ya radio ya Umoja wa Mataifa Rais Kikwete amesema nchi zilizoendelea zimekuwa zikisita kutimiza lengo namba nane linalowataka watoe asilimia saba ya pato la taifa ambapo akitoa mfano kwa nchi kama Marekani amesema ni kiasi kikubwa na hivyo kutotomizwa jamabo ambalo kwa ujumla linachelewesha utekelezaji wa malengo hayo.

(Sauti ya Kikwete)Sehemu ya pili ya mahojiano haya yatakujia hivi karibuni!

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post