Hawa mabinti wawili walikuwa marafiki wa damu. Inasemekana ugomvi kati yao ulitokea baada ya mabinti hao kusalitiana na kuchukuliana mpenzi. Chanzo kingine kinasema sio kweli kwamba walikua wakigombea mpenzi bali mtuhumiwa alimkata mwenzie usoni na kiwembe kisa alimuita mama yake kahaba.
Watu walioona Mkasa huo walichukua jukumu la Kumuadhibu mwanamke aliemkata mwenzie kwa kumuamrisha kuvua nguo na kubaki mtupu lakini msichana huyo alipinga na ndipo walipo mvua nguo kwa nguvu.![]()
Kwa wanaume sasa imekuwa ni kawaida kwa watuhumiwa wanao gombana au kuiba badala ya kuwafikisha katika vyombo husika vya sheria wanachukua jukumu la kuwavua nguo hadharani……