Unknown Unknown Author
Title: JIFUNZE NJIA MBADALA YA KUONGEZA NGUVU ZA KIUME NDANI YA DAKIKA 10 KWA CHAKULA
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
KWA KULA SAMAKI HUYU MWENYE GAMBA GUMU AINA YA OYSTER UNAWEUWEZEKANO ASILIMIA 99 KUONGEZA NGUVU ZAKO ZA KIUME NDANI YA DAKIKA 10 NA UTAKUA N...

clip_image002KWA KULA SAMAKI HUYU MWENYE GAMBA GUMU AINA YA OYSTER UNAWEUWEZEKANO ASILIMIA 99 KUONGEZA NGUVU ZAKO ZA KIUME NDANI YA DAKIKA 10 NA UTAKUA NA NGUVU ZA KAWAIDA TU KAMA BINADAMU WENGINE BILA MADHARA KWA MWILI WAKO AU MWILI WA MWENZI WAKO BADALA YA KUTUMIA DAWA ZENYE MADHARA NA MWILI WAKO NA KWA MWENZI WAKO

FATILIA PICHA NA MAELEZO HAPO CHINI

Huna nguvu za kutosha kufanya tendo la ndoa? Unakosa kabisa hamu ya kufanya tendo la ndoa au mara kwa mara inakutokea? "Basi tatizo lako ni 'low T' au low testosterone," na ni tatizo kubwa kwa wanaume wengi.

Testosterone ni hormone inayozalishwa katika vifuko vya mbegu za uzazi wa mwanaume, inasaidia sana sana katika kuhamasisha uwezo na msukumo wa tendo la ndoa. Inasaidia sana pia kumaintain strong bones, muscle mass and strength,

Testosterone inaanza kujitengeneza na kuongezeka katika mwili wa mwaume wakati wa adolescence na unapopevuka, na hupoteza ubora au kushuka kiwango hasa pale unapofikia umri wa miaka 30 kwa kiwango cha asilimia 1 kila mwaka. Kukosa ubora au kushuka kwa kiwango kunasababishwa na stressau mzongo wa mawazo ya maisha, mlo usio kamili , obesity na sababu nyingine. Inaposhuka ndio balaa inapoanza nawe kukosa hamu au kupungukiwa nguvu za tendo la ndoa mfano uume kutosimama imara na kukosa hamu pengine hata kufanya tendo chini ya kiwango kabisa na kusababisha kutomridhisha mwezi wako.

Oysters wana Protein, magnesium na madini ya zinc kwa wingi sana kuliko chakula chochote duniani, ambayo zinc hiyo inasaidia sana kuongeza testosterone, kukuimarisha na kukuza misuli katika mwili, ukakamavu wa hisia za kimwili na kuzalisha manii ya kutosha (sperm). Chakula kingine chenye zinc nyingi kinachoweza kukusaidia ni maini ya kuku na mbegu za maboga.HUYU NDIO OYSTER MWENYEWE AKIWA MZIMA PICHA HII NI BAADA YA KUMFUNUAHIZI NI HATUA JINSI YA KUMFUNUA OYSTER MWENYEWE UNAONA NYAMA TAMU KABISA BAADA YA KUMFUNUA AKIWA BADO MZIMA NA MBICHIKAMA UNAONA KINYAA BASI MWAGIA CHUMVI NA LIMAO KISHA MLE TARATIBUPIA UNAWEZA MMWAGIA BALSAMIC VINEGAR AU SIKI KUONGEZA LADHAVIPANDE VIWILI AU VITATU VINATOSHA KABISA KWA DOZI UNASHAURIWA KULA MARA MOJA KWA WIKI, KAMA MBICHI INAKUSHINDA UNAWEZA KULA WALE WA KWENYE MAKOPO, AU WA KUCHEMSHWA LAKINI USILE WA BBQ AU WA KUKAANGA KABISA UKIMALIZA KULA TU BAADA YA DAKIKA 10 MAJIBU UTAYAONA.

SOURCE: ACTIVECHEF.COM

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top