Balozi mpya wa vijana katika Jumuiya ya Afrika Mashariki kwa upande wa Tanzania Bi.Tamara Bertha Itanisa.
Mabalozi wapya wa vijana katika Jumuiya ya Afrika Mashariki kwa upande wa Tanzania Bi.Tamara Bertha Itanisa na kushoto ni naibu wake Alice Mseti.
Naibu balozi mpya wa vijana wa jumuiya ya Afrika Mashariki kwa upande wa Tanzaniam Bi Alice-Mseti.
Tamara Bertha Itanisa akipokea hati za utambulisho za ubalozi wa vijana katika jumuiya ya Afrika Mashariki toka kwa naibu katibu kutoka kwa Naibu Katibu Mkuu wa Jumuiya hiyo Mhe. Charles Njoroge katika ukumbi wa Hotel ya JB Belmont.
Timu ya vijana Tanzania.
(Picha zote na Raymond Maro)
Tags
HABARI ZA KITAIFA