HUYU NDIYE MREMBO ALIYECHUKUA TAJI LA MISS UNIVERSE TANZANIA 2013

SONY DSCMrembo BETTY BONIFACE ameibuka mshindi usiku wa jana kama MISS UNIVERSE TANZANIA na kutwaa Taji kutoka kwa mshindi wa mwaka jana …

Mashindano hayo, ambayo yalifanyika katika ukumbi wa makumbusho ya Taifa – Posta, jijini Dar es salaam, mshiriki CLARA NOOR alichukua taji la MISS EARTH …

Usiku huo, ulitambwa na show kali kutoka kwa HABA NA HABA CREW ambao walipamba vizuri huo …

Goodluck kwa Miss Universe Tanzania -2013 … Miss Betty !

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post