CCM YAJITANUA KATIKA MAJIMBO MAREKANI MWIGULU NCHEMBA NAIBU KATIBU WA CCM AFUNGUA TAWI LA CCM TEXAS MAREKANI

clip_image001Mh.Mwigulu Nchemba Naibu katibu wa CCM akikata utepe kama ishara ya kuzindua rasmi tawi la CCM - Texas MarekaniMh.Mwigulu Nchemba Naibu katibu wa CCM  akiwa na Mzee Rajab Luhwavi Msaidizi wa Rais katika Siasa Bw.Kitogo na Dada Amina Lesso waakisikiliza kwa makiniSehemu ya Wana-CCM  TexasKutoka Kushoto Frank Mutafungwa,Amina Lesso, Loveness Mamuya, Peter Ligate na Simon MakangulaMwenyekiti wa CCM-Texas Bw.Simon Makangula akiwa na Katibu wake Bw.Abdallah NyangassaBw.Arip  akiwa na Bw.Ligate wakifurahia jamboBw. Tenende akichangia jamboWana CCM-Texas wakifuatilia kwa umakini mkubwa mambo yote yaliyokuwa yakiendeleaMh.Mwigulu Nchemba Naibu katibu wa CCM  akikata utepe kuashiria ufunguzi rasmi wa Tawi la CCM-TexasDada Loveness na AminaBw. Kitogo na Mh.Mwigulu NchembaMh.Mwigulu Nchemba Naibu katibu wa CCM baada ya kumaliza kazi ya ufunguzi rasmi wa Tawi la CCM -Texas

PICHA ZOTE NA MPIGA PICHA WETU

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post