BREKING NEWS: MSANII MACK 2 B WA KUNDI LA WATEULE AMEFARIKI DUNIA

clip_image002#BreakingNews #Fahamu Msanii Na Producer Wa Music Wa Bongo Fleva Na Reggae Mack Malik Simba Amefariki Dunia Dakika 30 Zilizo Pita. Kaka Wa Marehemu Msafiri Masharubu Ameniambia Kuwa Alikuwa Akisumbuliwa Na Kuvimba Kwa Miguu Sana. Amefia Nyumbani Kwao Yombo.

Mack Alikuwa Member wa Kundi la wateule na producer kwenye studio za Enrico Pale Sound Crafters.

Tunazidi Kufuatilia Habari Zaidi

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post