SIMULIZI: NILILALA NA MAITI 20 ILI NIOLEWE NA RAIS SEHEMU YA TANO

clip_image002Story: Nililala na maiti 20 ili niolewe na Rais
Sehemu: 5
Mtunzi: Andrew Carlos
Simu: +255 713 133 633
Ilipoishia…
Hatua kama sita nilikuwa nikiendelea kutembea pembeni ya majokofu. Jamila alikuwa kwa nyuma yangu akinisimamia. Ghafla tumbo langu likacheza. Likatikisika! Mwili ukawa kama unataka kuruka ruka haswa maeneo ya tumboni. Nikasimama nakulishika tumbo lipoe. Nikautoa mkono mmoja nakufungua jokofu. Hewa kali ikatoka. Mwili wa mwanaume aliyekuwa ameharibika vibaya uso wake ndio nikatazamana nao. Mwili wake wote ulikuwa umepondeka pondeka.Halmashauri ya kichwa changu ikafanya kazi kwa haraka zaidi na kutambua kuwa ilikuwa ni maiti iliopata ajali. Tena ajali mbaya sana.
“Jamila siwezi kufanya mapenzi na maiti hii? Ni bora nife tu mara ya pili. Sitaki tena uchawi kama ni hivi”
Songa nayo…
“Adela? Unajitafutia makubwa! Hutaki nini?”
“Jamila hapana maiti kama hii siwezi hata pa kuianzia,Embu ona nitawezaje kuilamba mwili mzima wakati manyama nyama yake yalio na damu yalionekana yakigandamana na barafu. Ona sehemu zake za siri nazo zilivyojigawa kwa kupondeka. Hapana mimi siwezi wacha nisiwe mchawi tu!”
“Adela hivi ujue maneno hayo akiyasikia baba unaweza kupewa adhabu mbaya. Salha naye alikuwa hivi hivi mbishi.Alikuwa anachagua maiti za kufanya nazo mapenzi kinyume na taratibu za uchawi wetu. Alichofanyiwa na baba, alitolewa macho yake yote yakawa kitoweo.Tukayachemsha na kuyala kama supu halafu akamrudisha Salha duniani na kumtupa usiku usiku. Salha akakamatwa na wananchi akiwa na vifaa vya uchawi mikononi mwake. Wakamuua kwa kumchoma moto raia wenye hasira kali. Haya ndio unataka na wewe nikurudishe kwa baba nikamwambie umeshindwa?”
“Hapana Jamila usifanye hivyo, haya basi ngoja nianze!”
Nilijikuta nikivuta pumzi kwa hasira japo ni sehemu yangu ya uchawi. Niliichukuwa ile maiti kutoka katika jokofu lake nakuivuta mpaka chini kabisa kisha nikailaza. Maiti ilikuwa na ubaridi sana kutokana na kuhifadhiwa katika jokofu kwa muda. Ilikuwa tayari imeganda vilivyo.
“Mlambe! Mlambe mwili wote na usisahau kumnyonya sehemu zake za siri na ukimaliza ufanye naye mapenzi kama wafanyavyo watu wa duniani”
Yale maneno yalijirudia tena katika masikio yangu. Haikuwa sauti ya Sophy kama mwanzo ilivyokuwa bali ilikuwa ni sauti ya Jamila. Nililitazama eneo alipokuwa Jamila amesimama. Sikuweza kumuona Jamila tena. Niliyazungusha macho yangu vizuri mpaka eneo alipokuwa ameketi yule mlinzi napo sikuweza kumuona yule mlinzi. Hofu!
Sasa macho yangu yakabaki yakitazamana na maiti iliyokuwa mbele yangu. Maiti ya mwanaume aliyekuwa amepata ajali mbaya sana na kuharibikia karibu mwili mzima. Damu zake zilionesha kugandamana na barafu kali. Barafu la kwenye majokofu ya kuhifadhia maiti. Taratibu nilianza kuipapasa ile maiti pasipo kuogopa wingi wa barafu na baridi lake. Nikaanza kuilamba kuanzia usoni. Nikaudumbukiza mdomo wangu kwake. Ubaridi ulianza kuniingia vilivyo kupitia mdomoni mwangu. Kadri nilivyokuwa nikiinyonya ile maiti ndivyo na ile maiti ilivyokuwa ikiyeyuka. Damu damu zilizokuwa zimegandia zikaanza kujitokeza baada ya kutengana na ubaridi wa barafu. Sikutaka kamwe kupoteza muda nilihamia kifuani mwa ile maiti. Nikaanza kuinyonya kitovu chake huku nikishuka mpaka eneo la sehemu zake za siri. Nilizinyonya vivyo hivyo japokuwa zilikuwa hazifai kwa kuharibika.Harufu kali kama ile ya maiti nilioifukia kaburini ndio nikakutana nayo katika sehemu za siri za maiti. Sikujali kitu zaidi ya kumalizia kuinyonya. Niliikumbatia kwa nguvu pasipo kuogopa baridi lake. Niliikalia viungo vyake vya siri nakuvikatikia.
“Ohhh tamu sana! Tamuu!”
Nilijikuta nikiufurahia ubaridi uliokuwa ukinitekenya katika sehemu zangu za siri. Ubaridi uliojikusanya katika viungo vya siri vya maiti vilivyokuwa vimejikusanya vilivyo katika sehemu zangu za siri. Nilijiona utamu ukinizidia tofauti na ule wa maiti ile ya makaburini. Nilizidisha kuikatikia mithili ya wacheza shoo wa muziki wa dansi wakiwa jukwaani.
“Unafanyaje hapo? Naongea na wewe! Unafanyaje hapo?”
Sauti ya kiume kwa mbali niliisikia ikiniongelesha. Nikawa natoa macho yangu kuangaza uku nikiendelea kuikatikia ile maiti lakini kwa sasa nilikuwa nimepunguza kasi ya kuikumbatia kwa nguvu.Nikashusha pumzi. Kimya! Macho yangu ya kichawi yaliangaza pande zote ya chumba cha kuhifadhia maiti lakini sikuambulia kumuona mtu.
“Inamaana husikiii enhh?”
Mwanga mkali wa tochi ulinimulika usoni mwangu. Nilishangaa nikipigwa teke katika mbavu zangu. Niliiachia ile maiti nakusimama. Wima! Wanaume takribani watatu wakawa mbele ya macho yangu.
“Nyie wanga mtaacha lini tabia zenu? Enhh haya hapa unafanyanje na hii maiti?”
Bado nilikuwa katika hali ya kustaajabu.Taharuki kuu! Moyo uliniambia kuwa nimekamatwa na watu wa duniani lakini akili ilipingana na moyo wangu kata kata. Kamwe akili yangu haikutaka kuamini kuwa ni watu wa duniani.
“Inuka? Haraka inuka mpumbavu mkubwa wewe!! Baraka embu chukueni hiyo maiti irudishieni kwenye jokofu lake hapo juu?”
Maswali mengi yakaanza kunitawala katika halmashauri ya kichwa changu. Niliwaza sana imekuwaje nimekamatwa na watu wa duniani.
“Huenda nilivyokataa kwa mara ya kwanza Jamila kaenda kumwambia baba yake?”
Nilijikuta nausemea moyo juu ya kukamatwa kwangu. Nilianza kupigwa mateke kichwani na mgongoni. Nilipigwa sana huku nikitambaa kwa uchungu. Maumivu halisi nikaanza kuyasikia. Maumivu ya kidunia. Maumivu ya kupigwa kwa mateke. Nilijitahidi mpaka nikafika karibu na kona. Niliinuka haraka nakushikilia ukuta kwenye pembe nikidhania huenda nitayeyuka nakurudi kwa wachawi wenzangu. Haikuwa hivyo! Sikuweza kuyeyuka. Nilijikuta nikiumia sana moyo huku nikiendelea kuambulia kipigo kwa wanaume watatu. Kipigo cha mateke kilinizidia. Nilihama lile eneo la ukutani nakuendelea kutambaa nisijue naelekea wapi.
“Jamila njoo niokoe? Jamila? Sophy uko wapi leo nimeshikwa mimi? Nipeni nguvu za kichawi niepukane na kifo cha duniani. Binadamu hawatupendi sisi wachawi Sophy. Niokoeni jamani nafwaa!”
Bado nilikuwa na nena kwa lugha kimoyo moyo. Maneno ya uchungu yalitawala kichwa changu. Nilikuwa nikiongea kimya kimya. Hatimaye mlango ukafunguliwa mbele yangu. Mwanga mkali wa kuashiria ni duniani na tena kumekucha ukawa umeangaza. Akili ya kidunia ikaniingia mara mbili yake. Wananchi wengi wakiongozwa na manesi wakawa nje ya mochwari wakinishangaa. Nilijiangalia vizuri mwili wangu. Mwili uliokuwa uchi wamnyama. Mwili uliokuwa tofauti kidogo na binadamu wa kawaida kwa kukosa matiti kifuani.
“Wachawi kama hawa dawa yao ni kuchomwa moto tu!”
Sauti ya kiume ilipayuka kwa ukali. Watu wote walipiga makelele kushiria kukubaliana na kauli alioitoa yule mwanaume. Kauli ya mimi kuchomwa moto.
“Dokta, huyu tumpeleke kule tunapochomaga viungo vya watu waliopata ajali. Kule upande wa pili”
“Ni sawa haina tatizo. Embu nyie vijana hakikisheni huyu anapelekwa mpaka eneo lile tunapochomea viungo vya wagonjwa waliopata ajali sehemu za miguu na mikono. Na yeye tutamjumuisha kama yule mchawi tuliomchoma juzi. Hawa ndio dawa yao wataacha wenyewe”
Waliniburuta kwa kunipiga Adela mimi. Aibu kubwa iliendelea kunitawala lakini sikulijari. Sikuuthamini mwili wangu kuanzia juu mpaka sehemu za siri.Walinipiga sana njia nzima nikitambaa kwa maumivu. Nilifikishwa sehemu ambayo nilishuhudia harufu kali ya damu ikinijia katika pua zangu. Moshi mweusi sana ulikuwa ukitoka katika tanuru la nyumba ambayo ilikuwa mbele ya macho yangu.
“Tumuingize ndani. Huyu siyo wa kumbeba ni mateke mpaka ndani kabisa”
Waliendelea kunipiga huku nikijiburuta kwa kutambaa mpaka ndani. Mwili wangu ukawa hautamaniki kwa kipigo. Nilipoingizwa tu ndani nilitazamana na karai kubwa lililokuwa limewekwa viungo vya watu waliofanyia opersheni.Kulikuwa na viungo vya binadamu vya aina nyingi kama, masikio, miguu,mikono,vidole. Vilikuwa tayari kwa kutupwa kwenye moto. Walinisogeza mpaka karibu na eneo la kuchomea viungo vya mwili. Wakachukua panga nakuanza kutaka kunikata kata kuanzia mikononi.
*******************************
***** Je huo ndio mwisho wa Adela? Vipi Jamila yuko wapi? Nini hatma ya adela katika maisha yake ya kichawi?

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post