SIMULIZI: NILILALA NA MAITI 20 ILI NIOLEWE NA RAIS SEHEMU YA NNE

clip_image002Story: Nililala na maiti 20 ili niolewe na Rais
Sehemu: 4
Mtunzi: Andrew Carlos
Simu: +255 713 133 633
Ilipoishia jana…
“Sophhhhhyyyyy??”
Uzalendo ulinishinda kabisa nikabaki nikitoa sauti ya ukali na ya juu kabisa kumuita Sophy. Sophy yule niliekuja naye huenda nilikosea masharti au nguvu za kichawi zimeniishia. Lakini sikuambulia msaada wowote zaidi ya ile sauti nilioitoa kumuita Sophy ikinirudia mwenyewe mithili ya mwangi wa sauti katika mapango marefu na yenye giza.
Songa nayo…
Mara nikasikia tena zile sauti zikinyamaza.Kimya! Pakawa tuli kwa muda kidogo. Kimya kikaendelea kutawala eneo lote lililonizunguka. Muda wote mikono yangu ilibaki imeishikilia ile maiti kifua chake.Lile jicho moja la maiti lililojifungua likaendelea kunitazama. Nikalikazia na mimi kulitazama. Tukatazamana!
“Endelea sasa!, mlambe? Mtomase mwili wote na kisha tumia ulimi wako kumnyonya sehemu zake za siri!”
Ilikuwa ni sauti ya Sophy ikipenya kwa mbali katika ngome ya masikio yangu. Ilikuwa ikinong’ona kwa kunibembeleza. Nikajaribu kuyazungusha macho yangu kwa kuangalia alipo. Huku na kule sikuweza kufanikiwa kumuona zaidi ya kuhisi kama mkia ukinigusa mgongoni mwangu.Kadri ule mkia ulivyokuwa ukinigusa eneo la mgongoni mwangu ndipo na nguvu za kichawi zilivyokuwa zikinirudia. Nikajihisi kusisimka kuanzia kichwani,kiunoni mpaka miguuni.Nikapata ujasiri wa ghafla.Nikavuta pumzi kwa kuhema juju huku nikiinamia ile maiti kwa kuitazama. Taratibu nikaendelea na zoezi lililokuwa limenileta. Zoezi la kuhakikisha nafanya mapenzi na maiti iliokuwa mbele ya macho yangu. Maiti ya mwananume aliokuwa amevalishwa suti maridadi ambaye sasa alikuwa mikononi mwangu. Takribani dakika kumi nilikuwa bado nikiilamba maiti vilivyo. Zile nguvu za kichawi ziliniongezeka mara mbili yake. Nikaishikilia ile maiti nakuiinua mpaka ikasimama mithii ya mwanajeshi akiwa mstarini na bunduki yake tayari kwa kupiga kwata.Nikaivua nguo yake ya ndani nakuirusha pembeni. nikakutana na sehemu zake za siri. Sehemu ambazo zilikuwa zimesinyaa sasa zikawa ndani ya mdomo wangu nikizinyonya na kulazimisha zisimame ingawa ilikuwa tayari ni maiti ambayo isingeweza kusimama kwa njia yeyote. Wachawi huwa hawaoni uchafu wala kinyaa kwa kitu chochote kibaya ama cha kutia kichefu chefu kwa wanachofanya. Kwa kuwa tayari nilikuwa mchawi aliyekamilika. Aliyekamilika kwa kutembea uchi pasipokuwa na nguo yeyote usiku. Nikiongozwa na ungo,mkia pamoja na mkia vikiwa ni silaha yangu kubwa kwa kujikinga na watu duniani wasiweze kuniona wala kunikamata. Nilipomaliza kumlamba na kumnyonya nikachukuwa kiungo chake kimojawapo kati ya viungo vya sehemu zake za siri nakukalia kwa juu japo vilisinyaa havikuweza kusimama.Nikaanza kukatikia haraka haraka. Kwa jinsi nilivyokuwa nikiendelea kukatikia na utamu nao ndivyo ulivyokuwa ukinizidia.
“Ohhh asante! Asante!”
Niliusemea moyo.Nilijikuta nafurahia kufanya mapenzi na maiti kwa mara ya kwanza toka niwe mchawi kamili huku nikinena kwa lugha mwenyewe.
“Inatosha sasa! Inatosha Adela urudi nyumbani sasa?”
Ile sauti ya Sophy ikanirudia tena katika himaya hii ya makaburi. Sikuweza kumuona zaidi ya kuhisi sauti inapotokea tu.
”Nitarudi vipi sasa Sophy?”
Nilimuuliza hivyo hivyo pasipo kumuona.
“Inuka hapo ulipo kisha nenda kona ya hilo kaburi halafu tutakutana nyumbani. Sawa Adela?”
“Sawa. Na maiti hii niirudishie? Na kuhusu kufunika je?”
“Adela? Wewe zoezi lako limekwisha nenda kona hapo. Kuna misukule yetu ambayo tunaichukua kila siku kwa ajili ya kufanya kazi kama hizi za kufukia makaburi yaliochimbwa kwa nguvu zetu za kichawi. Watairudishia kama ilvyokuwa”
Ilinibidi kuitii ile sauti niliyohisi huenda ni ya Sophy. Nikachukuwa kibuyu na mkia wangu kisha nikajongea mpaka kona ya kaburi nakusubiri kitakachotokea. Haikuchukua muda nilijikuta nikiyeyuka.
*******
Kiza kinene kiliendelea kutawala mbele ya macho yangu. Hakukuwa na mbalamwezi wala nyota hata moja. Vicheko vingi vya kichawi ndivyo vilirindima zaidi. Nilijikuta na mimi nikiwa katika eneo lile la awali. Eneo ambalo lilikuwa ni himaya kuu ya wachawi. Pale ambapo nilikaribishwa kwa nguvu za kichawi mara ya kwanza na kujiunga rasmi na uchawi. Nami nikatoa kicheko cha kichawi nikiwaangalia.
“Adela kwanza hongera kwa kuweza kufanikisha zoezi la kwanza la kulala na maiti”
Aliongea baba Jamila. Yule mzee alioyachukuwa maziwa yangu mawili na kuyakata kisha akayatoa na kuwapa mabinti wagawane kwa kuyatafuna. Kwa muda huu alikuwa akizungukwa na wachawi wenzangu tena wote kwa pamoja kila mmoja akimtazama na kucheka naye.
“Adela? Una siku kumi tu ambazo unatakiwa uwe umeshamaliza kulala na kufanya mapenzi na maiti ishirini. Hivyo kwa siku unatakiwa uwe unafanya mapenzi na maiti mbili. Kama leo ulikuwa makaburini utatakiwa uende pia na mochwari ukafanye mapenzi na maiti nyingine mpaka idadi ya maiti ifike ishirini. Sawa?”
Nilijikuta mwili ukiendelea kunisisimka kwa maneno niliokuwa nikiyasikia kutoka kwa baba Jamila. Msisimko! Baridi si baridi na wala joto si joto likajipenyeza ndani ya moyo wangu. Sikuwa na moyo wa hasira tena zaidi ya kuwa na moyo wa furaha muda wote haswa nikiambiwa vitu vihusivyo uchawi. Shauku kubwa ikabaki ni jinsi gani nitalala na maiti zile za mochwari. Akili yangu kuu nikaielekeza kwa jinsi maiti zinavyohifadhiwa katika majokofu yake huko mochwari. Nikalifikiria sana baridi la kwenye majokofu kisha akili ikanipeleka hadi jinsi nitakavyofanya nayo mapenzi na ule ubaridi wake uku maiti ikiwa imesinyaa.
“Jamila”
Aliita yule mzee. Alikuwa akimuita binti yake. Binti yule aliotumwa panga mara ya mwisho na mzee wake huyu. Jamila akasogea mpaka eneo la karibu na baba yake.
“Abee baba!”
“Sasa wewe ndio utakuwa na Adela katika kumpeleka huko mochwari. Hakikisha amefanya kama tunavyofanyaga tukiwa na maiti jinsia tofauti. Sawa mwanangu Jamila?”
“Nimekulekewa baba”
Jamila alipomjibu tu baba yake. Akanifuata mpaka karibu yangu.Rundo la wachawi wenzangu walibaki wakinishangaa.
“Adela twende?”
Nikawa namfuata kwa nyuma nisijue tutapoteaje mpaka kufika huko mochwari. Kwa mwendo kidogo huku tukiwa katika himaya zetu za kichawi. Jamila aliinama chini kisha akasimama akiwa ameshikilia mkono wa mtoto mchanga. Mkono uliokatwa nakubakiwa na sehemu ndogo sana.Jamila akaking’ata kipande cha nyama kisha akanipa.
“Na wewe kula Adela?”
“Hapana mimi nimeshashiba Jamila!”
“Adela, hii ndio dawa yetu ya kutukinga tuendapo huko mochwari. Na nyama hii ya mkono wa mtoto mchanga tuliipata huko huko mochwari. Ni tamu sana shika kula!”
Jamila alinilazimisha kuila ile nyama. Mwanzoni nilimkatalia lakini kwa kuwa ilikuwa ndio kama dawa ya kuenda huko mochwari haikuwa na budi kuila. Niliitafuna kidogo kidogo mpaka nilijikuta utamu ukinikolea na kuimalizia yote huku nikijilamba na kuutafuna mfupa wake uliokuwa mlaini mithili ya nyama za kuku wa kizungu. Baada ya kumalizia kuila tu ile nyama nilijikuta tayari nipo ndani ya chumba cha mochwari. Nilikuwepo sambamba na Jamila pembeni yangu.
“Adela umemuona huyo hapo mlinzi kasinzia?”
“Ndio nimemuona kwani hawezi kutushika?”
“Hapana Adela, yaani ile nyama ya mtoto tuoliokula ndio dawa ya kila kitu. Ina nguvu sana kuliko hata kibuyu na mkia.Nyama hii ni maalum kwa huku mochwari tu. Yule mlinzi hata kama akishtuka hawezi kutuona kamwe.”
Jamila alinijaza moyo wa kishujaa zaidi. Mwili wangu ukakubaliana na moyo, moyo ukaridhika na kuiongoza akili. Akili ya kuanza kufungua jokofu moja baada ya nyingine.
“Sasa Jamila nitajuaje kama ni maiti ya leo leo?”
“Ile nyama ulioitafuna ndio itakuwa ikikuelekeza kupitia tumboni mwako. Tutapita mstari huu. Wa majokofu. Tumbo likicheza ujue hapo hapo utatakiwa kufungua na kuitoa maiti mpaka chini kisha utaichezea kwa kuinyonya na kuilamba halafu utafanya nayo mapenzi hivyo hivyo ikiwa imeganda”
Hatua kama sita nilikuwa nikiendelea kutembea pembeni ya majokofu. Jamila alikuwa kwa nyuma yangu akinisimamia. Ghafla tumbo langu likacheza. Likatetema! Mwili ukawa kama unataka kuruka ruka haswa maeneo ya tumboni. Nikasimama nakulishika tumbo lipoe. Nikautoa mkono mmoja nakufungua jokofu. Hewa kali ikatoka. Mwili wa mwanaume aliyekuwa ameharibika vibaya uso wake ndio nikatazamana nao. Mwili wake wote ulikuwa umepondeka pondeka.Halmashauri ya kichwa changu ikafanya kazi kwa haraka zaidi na kutambua kuwa ilikuwa ni maiti iliopata ajali. Tena ajali mbaya sana.
“Jamila siwezi kufanya mapenzi na maiti hii? Ni bora nife tu mara ya pili. Sitaki tena uchawi kama ni hivi”
****************
*** Je Adela atafanikiwa kufanya mapenzi na maiti hiyo. Na ndio mwisho wa uchawi wake ama?? Nini hatma yake?

**** Simulizi ndio kwanza imeanza, tegemea utamu zaidi kila itakapokuwa inaendelea. Gonga LIKE na SHARE ili iwafikie wengi zaidi nao wajifunze kitu

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post