SERENGETI FIESTA IKIENDELEA USIKU HUU NDANI YA SINGIDA MOTEL MKOANI SINGIDA

clip_image001Baadhi ya wakazi wa mkoa wa Singida wakiwa wamejitokeza kwa wingi usiku huu kwenye tamasha la Serengeti Fiesta 2013 linalofanyika kwenye viwanja vya Singida Motel usiku huu.Msanii wa muziki wa kizazi kipya Petter Msechu akiwaimbisha mashabiki wake waliojitokeza kwa wingi usiku huu kwenye tamasha la serengeti fiesta 2013 linaloendelea hivi sasa ndani ya Singida Motel.Ni ndani ya Singida Motel tamasha la Serengeti Fiesta 2013 likiendelea hivi sasaWasanii mahiri wa muziki wa kizazi kipya kutoka THT,Lina na Amin wakilishambulia jukwaa kwa pamoja,huku wakazi wa Singida waaliofurika usiku huu ndani ya Singida Motel wakipiga mayowe ya shangwe. Amin Jukwaani akiwambisha mashabiki wake,huku mayowe kila kona yakisikika usiku huu ndani ya tamasha la Serengeti Fiesta 2013 ndani ya Singida Motel,mkoani Singida.Msanii wa muziki wa kizazi kipya,Abdul Kiba akiimba jukwaani kwa hisia usiku huu ndani ya tamasha la Serengeti Fiesta 2013,ndani ya Singida Motel usiku huu mkoani Singida. Ni burudani Serengeti Fiesta nomaa sanaaa usiku huu,

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post