Rais wa Utpc,Kenneth Simbaya akifungua mkutano mkuu maalum wa Utpc leo katika ukumbi wa Golden Crown –Dodoma
Wajumbe wa mkutano mkuu wa Utpc
Mdau Abdulaziz Video ambae pia ni Mwenyekiti wa klabu ya waandishi wa habari mkoa wa Lindi nae akihudhuria kikao hicho maalum
Sekriterieti ya Utpc wakichukua yanayojiri katika kikao hicho muhimu kinafanya mabadiliko ya katiba ya Utpc
Tags
HABARI ZA KITAIFA