Kaka Dada ni wimbo unaohusu watoto wawili,wakiume na wakike waliokua pamoja,wakawa kama kaka na dada. Walivyoendelea kukua ukaribu wao ukazidi. Kwenye ngoma hii,jokate ana boyfriend ambae hamuelewi na Lucci nae ana totoz wengi,na hiyo swala humfanya jokate awe na wivu.kumbe muda wote, wao wawili wanapendana na kutamaniana. Enjoy!!
Tags
VIDEOS