Going Bongo: Movie ya Kimarekani Iliyochezwa Dar Es Salaam Na waigizaji wa TZ Kushirikishwa

clip_image001Pengine hii ni Movie ya Kwanza kabisa na yenye ubora wa hali ya juu katika tansia ya Filamu Duniani sehemu yake kubwa kuchezwa Tanzania, Dar Es Salaam. Ni Movie Inayokwenda lwa jina la Going Bongo Ambayo inamuhusisha Ernest Napoleon ambaye amecheza kama Dr.Lewis Burger. Dokta ambaye anakuja Dar Es Salaam Kujitolea kwa mwezi mmoja kufanya kazi kama Daktari.clip_image002Movie hii ambayo imewashirikisha waigizaji kutoka Tanzania kama kama Ahmed Olutu ‘Mzee Chilo’ , McDonald Haule, Sauda Simba Kilumanga, Amby Lusekelo na  Evans Bukuku.  Inatajiwa kutoka Mwezi wa December Mwaka huu.Na baadhi ya Track za kitanzania zimetumika kama Sound Track ikiwemo Track ya Nipeni Deal ya Marehemu Albert Mangwair.

Check Baadhi ya Picha na Trailer za Movie hiyo

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post