ANGALIA PICHA ZA WASANII WANAOSHIRIKI KATIKA SERENGETI FIESTA TOUR KATIKA POZI TOFAUTI

clip_image003Diamond na Lina ndani ya GariMmmh... Linah umetisha wawili double .....?Recho ..... utamtaja tu wewe jishebedue!!!!Haaaaa... Shilole unamkonyeza huyo hapo ama nini.....??Shilole hizo ndiyo pamba za America au??Nay vipi tena hicho kibinti au ndiyo baridi la Serengeti Fiesta 2013 .....??Msechu tumekuona ....Zirro,Muli B, mnatisha hata bila pozi.....Aaah Shafii umekutana na mdau mwenzako wa soka nini mbona unatabasamu sanaaa????Nani anadowea kwa mwenzake sasa.... nawauliza nyie hapo B12 & Shetta????Recho,Nalee... pozi hilo mnapendana kweli au ndio urafiki wa msimu wa Serengeti Fiesta 2013???Shetta si unamke na mtoto wewe eeeh???Mmesomeka...,Msechu,Mchomvu,G Walawala & B12 !!!

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post