PICHA ZA SIKU: OBAMA NA KIKWETE WAKICHEZA SOKA

clip_image002Rais wa Marekani Barack Obama akipiga danadana za kichwa alipokuwa katika mitambo ya kuzalisha umeme ya Symbion Ubungo jijini Dar es Salaam Tanzania.”Messi mwenyewe haniwezi' Akipiga danadana Hebu Nipasie na mimi uone - Kikwete akisubiri kupasiwa mpira na Obama

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post