FEZA KESSY AENDELEA KUTIA AIBU NDANI YA JUMBA LA BBA THE CHASE, BAADA YA KUDENDEKA TENA KWA MARA NYINGINE

clip_image002Mshiriki wa Botswana, Oneal ameendeleea kuyafaidi mate ya dada yetu ambapo wakati huu jamaa huyo aliamua kupiga magoti wakati akimwaga "sera za nguvu" kwa Feza na kumwambia kuwa maisha yake yalikuwa shagala bagala kabla hajakutana na mwakilishi huyo wa Tanzania.
Maneno hayo matamu yalimwingia vyema Feza ambaye
alikuwa akitabasamu muda wote kuashiria upendo mzito kwa jamaa huyo wa Botswana ambaye anataka wawe na maisha pamoja siku za usoni.
Washiriki wengine waliamka na kuwashangalia wapenzi hao kama yalivyo maisha ya kawaida.

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post