OFFICIAL DSTV BIG BROTHER PARTY AT NYUMBANI LOUNGE

clip_image001DSTV pamoja na AIRTEL wanakuletea special Viewing party ya Big Brother Eviction Show Kila Jumapili ndani ya NYUMBANI LOUNGE kuanzia saa mbili usiku. Wiki hii Ndani ya Big Brother Rapper Mtanzania WAKAZI atatumbuiza.

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post