Dida wa Ezden Aiwa katika vazi la shela ya harusi
Maharusi wakiwa na nyuso za furaha mara baada ya kufunga ndoa
Bwana harusi akimchum mke wake halali wa ndoa Dida
Mashallah the newly weds Mr & Mrs Ezden Jumanne.
Hongera sana Dida na Ezden tunawatakia kila la kheri katika ndoa yenu.
PICHA KWA HISANI YA http://www.jestina-george.com.