Msimamizi wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya Mkoa wa Lindi, Fotunata Raymond akifafanua jambo mbele ya maofisa askari wanachama wa mfuko kutoka Jeshi la Magereza mkoani humo hawapo pichani,kwenye bwalo la maafisa hao jana.kulia kwake ni afisa udhibiti ubora wa NHIF Dr.Beatrice Mwakipiesile,kushoto ni Naibu na Kaimu Mkuu wa Magereza Mkoa wa Lindi SSP Zephania.Kaimu na Mkuu wa Magereza Mkoani Lindi,SSP Zephania akitoa tathimini ya umuhimu wa elimu iliyowasilishwa kwa watumishi askari magereza waliopo mkoani humo.Msimamizi wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya Lindi,Fortunata Raymond akitoa mada wakati wa mafunzo ya maboresho ya mafao yatolewayo na NHIF sambamba na mabadiliko ya usajili wa wanachama yaliyotekelezwa hivi karibuni,kwenye bwalo la maafisa wa Polisi Lindi.Washiriki wa mafunzo hayo ambao ni askari wa jeshi la Magereza Mkoa wa Lindi wakimsikiliza mtoa mada.
Home
»
HABARI ZA KITAIFA
» NHIF LINDI YATOA ELIMU KWA WANACHAMA WAPYA ASKARI WA MAJESHI YA MAGEREZA NA POLISI
About Author
JE, UNA HABARI, PICHA, TANGAZO, MAKALA NA USHAURI? USISITE KUWASILIANA NASI SIMU / WHATSAPP NAMBA 0625535420.
Advertisement
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment Blogger Facebook
Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii
Note: Only a member of this blog may post a comment.