Unknown Unknown Author
Title: CHEKI PICHA ZA BEHIND SCENE YA TAKE ONE, SHILOLE ALIKUA AKIHOJIWA. CHEKI HAPA
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Hii ni nyuma ya pazia ya Msanii Shilole akihojiwa kwenye Take One ya Clouds tv na zamaradi Mketema... interview hiyo ambayo yakipekee kabisa...

clip_image002Hii ni nyuma ya pazia ya Msanii Shilole akihojiwa kwenye Take
One ya Clouds tv na zamaradi Mketema...
interview hiyo ambayo yakipekee kabisa haikufanyiwa Studio
kabisa bali ilifanyika
nyumbani kwa Msanii Diamond ambapo mwanadada Shilole alikuwepo pia kama mgeni mualikwa kuja kufturu.....

Shilole ameweza kufunguka mengi juu ya mustakbali  wake na kazi ya muziki...,
Faida za muziki na safari nzima yake nchini Marekani  na kipi alichofaidika nacho....Unataka kujua Shilole anatarajia kufanya Collabo na Msanii gani wa Kike nchini Marekani....?

Je unajua nini asa kimemkera Shilole ndani ya mwezi huu pindi yupo nchini Marekani..?
Basii hii si ya kukosa kabisa,TAKE ONE ya Clouds Tv ndio habari ya mjini wikii ijayo jumanne saa 9:30 usiku Usikose.....!!

MAKE UP Ndio yenyewe kabla ya Interview....Rommy Jones & Shilole....Hii si yakukosa kabisa dani ya Take One......Ommy Dimpoz,Shilole &DIAMOND

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top