TAZAMA PICHA YA TID AKIWA LOCATION, NI YA WIMBO WAKE MPYA

clip_image001Msanii wa muziki wa kizazi kipya nchini TID yupo katika maandalizi ya kufanya video yake ya wimbo unaojulikana kwa jina la Raha aliyomshirikisha Professa Jay.

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post