BONGO FLEVA YAIBUKA KIDEDEA MBELE YA BONGO MUVI

clip_image001Nahodha wa Bongo Fleva, Hamis Baba 'H Baba' akipokea kombe kutoka kwa Mhe. William Ngeleja.clip_image002Bongo Fleva wakisherehekea ushindi wao.clip_image002[4]Bongo Muvi baada ya kichapo.

Timu ya Bongo Fleva imeibuka kidedea kwa kuichapa Bongo Muvi mabao 3-2 katika mchezo wao wa Jana kwenye Tamasha la Matumaini 2013. Mpaka filimbi ya mwisho inapulizwa mabao yalikuwa 1-1 ndipo zikaamriwa penalti na Bongo Fleva kuibuka kifua mbele kwa penalti 2-1.

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post