Pambano kati ya Mbunge Halima Mdee na Muigizaji Jackline Wolper iliishia droo kwa kufungamana kwa makonde 10-10.
Muigiziaji wa Bongo Movie Jackline Wolper akielekea ulingoni.
Mheshimiwa Halima Mdee, Mbunge wa Kawe akisindikizwa ulingoni na Mbunge wa Arumeru Mashariki Joshua Nassari
Aunt Ezekiel akijiandaa kabla ya kuanza pambano dhidi ya Mbunge Ester Bulaya.
Mbunge Ester Bulaya akikwepa ngumi iliyorushwa na Aunt Ezekiel (kushoto).
Napo hapakupatikana mshindi..iliishia 5-5 kati ya Mbunge Ester Bulaya (kulia) na muigizaji Aunt Ezekiel
Tags
SPORTS NEWS