Wachezaji wa Yanga (wabunge) wakishangilia na kombe lao.
Wachezaji wa Yanga (wabunge) wakishangilia baada ya kuwalaza watani wao Simba (Wabunge) kwa penati 4-3.
MECHI ILIANZA HIVI CHEKI PICHA CHINI Rais Kikwete akielekea kukagua timu.
Rais Kikwete akisaini mpira utakaotumika.
...Akiwakagua Yanga.
..Akiwakagua Simba.
Rais Kikwete katika picha ya pamoja na Eric Shigongo, Waziri Fenella Mukangara, marefarii na manahodha wa Simba na Yanga.
Jk akipuliza kipenga.
Tags
SPORTS NEWS