BASI LA KAMPUNI YA SAIBABA LAPINDUKA MKOANI PWANI

clip_image002Watu 21 wamejeruhiwa vibaya na wengine 30 wakinusurika kifo baada ya basi  walilokuwa wakisafiria kutoka jijini Dar es salaam kwenda Songea kupata  ajali eneo la vigwaza mkoani pwani.clip_image002[8]Akizungumza na mwanahabari wetu Reuben Mchome mkuu wa kikosi cha askari wa barabarani Chalinze  Assistance Inspector Sule amesema ajali hiyo imetokea majira ya saa  mbili asubuhi ya leo July 02 baada ya basi la abiria la kampuni ya Saibaba lenye namba za usajili T 779BKL kutaka kulipita gari lingine huku likiwa  katika mwendo kasi na hatimaye gari lilimshinda dereva huyo na kisha  kupinduka
clip_image002[10]Aidha ameongeza kuwa majeruhi hao wamekimbizwa katika hosiptali ya tumbi  kibaha kwaajili ya matibabu,basi hilo lilikuwa na jumla ya abiria 51.

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post