PICHA ZA MAZISHI YA MSANII WA BONGO MOVIE ( KASHI ) ALIYEFARIKI JANA

clip_image003

Pichani juu ni mazishi ya msanii ya mwigizaji  Jaji Khamis 'Kashi' aliyefariki jana mchana katika Hospitali ya Taifa Muhimbili jijini Dar yaliyofanyika leo mchana majira ya saa nane kwenye makaburi ya Kinondoni jijini Dar es Salaam.

Marehemu Kashi alikumbwa na umauti baada ya kuugua ghafla malaria na kifua. Mwenyezi Mungu ailaze roho ya marehemu Kashi mahali pema. AMEN!

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post