AJALI MBAYA KATI YA MWENDESHA BODABODA NA LORI.....DEREVA WA BODABODA AMEFARIKI DUNIA

clip_image002Ajali imetokea Mtaa wa chuma road karibu na bodi ya nafaka.. Wenye pikipiki walikua wanatoka Veta kunyoosha mbozi road na mwenye gari anatokea kwa sokota, mwenye gari akapinda kona ya Simba Plastiki na kuwazoa wenye pikipiki,clip_image002[8]

clip_image001

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post