Ni wimbo ambao umeimbwa maalumu kwa ajili ya kumuenzi marehemu Langa Kileo ambae amezikwa jana katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar … Video ya wimbo huu imeimbwa na baadhi ya wasanii wa kizazi kipya akiwemo Country Boy na wengineo …
Tazama GOODBYE LANGA hapa chini …
Tags
VIDEOS