Hizi ni tuzo mpya zilizoanzishwa na kampuni ya YOUTH FOR AFRICA kwa ajili ya vijana ambao wako chini ya umri wa miaka 30 . Na haya ndio majina ya vijana hao ambao watachuana katika kinyang’anyiro cha Tuzo hizo …
Mmoja wa wafanyakazi wa kampuni ya GongaMx ambae ni Michael Mlingwa “Mx” ametajwa kama nominee katika kipengele cha kuwania tuzo ya Entertainment.
Check orodha ya washiriki wengine na vipengele wanavyoshindania …
Tags
HABARI ZA KITAIFA