Mbunge wa Mtwara Mjini ndg Murji amerejeshwa rumande mara baada ya kukosa kutimiza masharti ya dhamani iliyo tolewa na Mahakama. Kesi hiyo itasikilizwa tena tarehe 12/06/2013.
Mbunge huyo alikamatwa usiku wa Jumamosi tarehe 8/06/2013 kwa kosa la kuhusika na Uchochezi katika Vurugu zilizotokea Mkoani humo hivi karibuni.
Tags
HABARI ZA KITAIFA