WACHEZAJI WA BARCA WAPIGA PAMBA ZA KUFA MTU, WADONDOKA KWENYE PATI NA WACHUMBA WA MAANA, NANI MKALI?

clip_image002Mvunja rekodi: Lionel Messi akiwasili na mpenzi wake usiku wa jana

KLABU ya Barcelona imesherehekea taji la nne La Liga ndani ya miaka mitano kwa staili ya aina yake usiku wa jana, kwa wachezaji na wapenzi wao kuhudhuria hafla ya chakula cha usiku.

Kikosi kizima kilipambwa na nguo maridadi na viatu vikali, katika kusherehekea taji la 22 la Ligi Kuu ya Hispania katika klabu hiyo, huku wachezaji wanane wa kikosi cha kwanza wakisherehekea taji lao la kwanza la ligi.

Awali klabu hiyo ilifanya maandamano kusherehekea na mashabiki wachezaji wakiwa kwenye mabasi mawili makubw aya wazi juu na kukatiza mitaa ya Jiji Barcelona Jumatatu.

Recovery: Eric Abidal made his comeback this year after a liver transplantAmepona: Eric Abidal amerejea uwanjani mwaka huu baada ya kufanyiwa upasuaji wa ini

Barcelona kwa sasa inaizidi pointi 10 Real Madrid ikiwa imebakiza mechi moja, wakati ligi imebakiza wiki mbili.

PuyolDani Alves

Mabeki wa taji: Carles Puyol na Dani Alves

Suited: David Villa arrives as Barcelona celebrate their title winDavid Villa akiwasili kwenye sherehe za ubingwa Barcelona New arrival: Cesc Fabregas and girlfriend Daniella Semaan celebrated the birth of their baby earlier in the yearCesc Fabregas na mpenzi wake, Daniella Semaan wakiwasili

Andres IniestaIniesta akiwa na Kimwali chake Ndani ya usiku huoVictor ValdesValdes naye hakuwa nyumaJavier MascheranoBack in action: Manager Tito Vilanova has had a roller-coaster yearKocha Tito Vilanova akiwasili

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post