Swali la kujiuliza Lipo Kimaadili au tumeangalia upande mmoja washilingi kuliko upande huu ambao watu wengi hupita asubuhi kwenye meza za magazeti kuangalia ninani leo yupo kwenye cover ya mbele na kwa stori gani na Piza ipi..
Ono langu Tusiangalie upande mmoja tu wa Bongo movi hata magazeti na Majarida yetu pia ya na Husika kwa namna moja au nyingine.
