Hivi ndivyo hali ilivyokuwa baada ya Machinga kufunga barabara kuu ya Iringa – Dodoma na ile ya Mashine Tatu mjini Iringa leo.
Hali ikiwa tete eneo hilo.
Picha juu na Chini: Polisi wakiwa tayari kukabiliana na Machinga.
Abiria na wapiga debe wa stendi kuu Iringa wakinawa maji baada ya kupigwa mabomu na kumwagiwa maji ya kuwasha na askari.
Tags
HABARI ZA KITAIFA