MAYWEATHER NOMA...AMTWANGA KAMA GUNIA LA MAZOEZI GUERRERO NA KUTETEA TAJI LA DUNIA

Still champion: Floyd Mayweather retained his welterweight title after unanimously outpointing Robert GuerreroFloyd Mayweather amerejea ubingwa wake wa Welter baada ya kumpiga kwa pointi Robert Guerrero
BONDIA Floyd Mayweather Jnr ametoka gerezani na kuendeleza ubabe katika ndondi kwa kushinda pambano la uzito wa Welter dhidi ya Robert Guierrero kwa pointi.
Robert Guerrero alishindwa pointi 117-111 zilizotolewa na majaji wote waliompa ushindi Mayweather.
Katika pambano hilo, Mayweather alipoteza raundi ya pili tu kwa pointi 119-109.
Wengi walikuwa wana wasiwasi baada ya Mayweather kutoka jela angeathirika kimchezo, lakini usiku wa jana alikuwa moto mkali.

Floyd MayweatherFloyd MayweatherOn target: Mayweather's rapier right hand did the damage as he outclassed a disappointing GuerreroOn target: Mayweather's rapier right hand did the damage as he outclassed a disappointing GuerreroSlipping and sliding: Mayweather demonstrates his brilliant defence to evade attacks from GuerreroSlipping and sliding: Mayweather demonstrates his brilliant defence to evade attacks from Guerrero
Robert Guerrero Robert Guerrero On the attack: It was clear from the early stages that there was only going to be one winner in Las VegasOn the attack: It was clear from the early stages that there was only going to be one winner in Las Vegas




Previous Post Next Post