BREAK NEWS: KANISA LALIPULIWA MJINI ARUSHA

breaking-news_news
Mlipuko mkubwa umetokea katika kanisa Katoliki la Mt. Joseph Mfanyakazi, Parokia ya Olasisi Arusha. Watu kadhaa wamejeruhiwa wakati wa ibada ya uzinduzi wa kanisa hilo iliyokuwa ikiongozwa na Balozi wa Papa nchini.
Endelea kutembelea  Fahari ya kusini
kwa habari zaidi.
UPDATE:
…..mlipuko ulitokea katikati ya watu…..
….eneo limetapakaa damu….inasikitisha sana….
….niwakati Baba askofu akibariki maji ya baraka wakati anaweka chumvi ndani ya hayo maji (tendo la kubariki maji)..ghafra mlipuko ukatokea karikati ya watu….
….watu wako katika hali ya majonzi na masikitiko makubwa…..
.....HIVI SASA NA INADAIWA KUWA KUNA WATU WASIOPUNGUA WANNE WAMEPOTEZA MAISHA . 

....from ITV POST: BreakingNews:Jeshi la palisi linamshikilia mtu mmoja akihusishwa na mlipuko uliotokea katika kanisa la Katoliki Olasisi Arusha leo asubuhi 

Mkuu wa Mkoa Mulongo naye  amefika  eneo  la  tukio  na  kuwafariji  wahanga  wa  tukio  la  bomu....

 
RPC  wa  mkoa  wa  Arusha  naye  aliambatana  na  mkuu  wa  mkoa  na  muda  huu  alikuwa  anatoa  nasaha  zake  kwa  wananchi....



RPC  ameeleza  kuwa  tukio  hili  ni  la kigaidi. Katika  maelezo  yake, RPC amesema kuwa  aliyehusika alijitokeza nyuma ya jengo kwa kujificha na kurusha bomu. ...



Amesema Polisi wanawasaka waliohusika  na  unyama  huu  na  ameomba yeyote  mwenye taarifa yoyote aisaide polisi. ..




Waliojeruhiwa ni 50 .Hao wana majeraha ya kawaida  na 3 wako  mahututi



Mpaka sasa  mtu mmoja anashikiliwa  na  polisi kwa mahojiano  zaidi
 Polisi wakijaribu kuchunguza eneo bomu lilipolipukia leo asubuhi
 
Majeruhi wa tukio hilo wakiwa katika hali mbaya.. 
Previous Post Next Post