“FOOT WASH” MRADI WABUNIWA SOKO LA MAHAKAMA YA NDIZI MABIBO DAR (WANAOSHA MIGUU)

Vijana wakiosha miguu ya wateja waliokuwa wanatoka Soko la Mahakama ya Ndizi lililojaa matope  eneo la Mabibo, Dar es Salaam jana. Katika mradi huo uliobuniwa katika soko hilo lililokithiri kwa uchafu, huwapatia vijana hao fedha za kujikimu na maisha kwa kumlipisha kila anayeogeshwa sh 200.Mmoja wa wateja waliotoka sokono hapo akiogeshwa  viatu vyake
Hali ya soko ilivyoKwa kweli hali inatisha na kuhatarisha afya za wakazi wa Jiji la Dar esa Salaam wanaokwenda kupata mahitaji hapoMteja akijiosha miguu baada ya kutoka sokoni hapo. Licha ya kujiosha lakini hulipishwa sh 200

(PICHA ZOTE NA RAPHAEL GWASSA)
Previous Post Next Post