EXCLUSIVE INTERVIEW: MANGWEA MANAGER “MURO” SPEEKING, LISTENING HERE

 clip_image001Manager Muro Amesema Kazi za Ngwear Nyingi zipo studio tofauti chini ya usimamizi wake na Kabla ya kifo chake Ngwear alitaka nyimbo zake ziwe tofauti sana kitu ambacho tumezingatia kwenye production ya nyimbo zake na Maneck. Mimi kama manager nampango wa kukaa na familia yake ili tujue nyimbo zikitoka zitafaidisha vipi familia yake. Ngwear alitaka sana kumpa Mama yake mzazi maisha mazuri kitu ambacho kupitia mziki wake tutafanikisha. Ngwear alitaka kumjengea duka mama yake na hilo pia nitafatilia na baada ya hilo mambo mengine yatafata.

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post