Nyota wa Kusini akisakwa kwa udi na uvumba washiriki katika mpambano huo
Na Abdulaziz Video
Shindano la kumsaka Mwenye kipaji kwa wasanii wasiosikika kanda ya Kusini limefanyika Usiku wa kuamkia leo katika Ukumbi wa NR Resorts, Nachingwea. Jumla ya washiriki 26 toka Lindi,Masasi,Mtwara,Ruangwa,Liwale na Nachingwea.
Shindano hilo ambalo limeandaliwa na Ernest Nyambina wa Nr Resorts linaendeshwa chini ya Msema Chochote Fadhili Liwaka(MC Liwaka) ambae pia ni Mjumbe wa Halmashauri kuu ya Taifa ya CCM.
Msanii akiwa katika miondoko ya kusini
Meza kuu ikifuatilia mpambano huo
Mashabiki kibao
Nyota wa Kusini akisakwa kwa udi na uvumba na chini ni washindani katika mpambano huo
Tags
MUSIC NEWS