Jumla ya Warembo Kumi watachuana Vikali kugombania taji hilo. wanyange hao wako kambini Hotelini hapo kwa mazoezi makali huku wakiongozwa na Redd’s Miss Lindi 2012.
Viingilio vimetajwa kuwa viti vya kawaida leo hii ni viti vya kawaida Tsh 10,000/= na VIP itakuwa 15,000/= na tiketi zimeanza kuuzwa toka asubuhi Hivyo wahi tiketi yako mapema ili ushuhudie show ya kihistoria katika mambo ya urembo katika mji wa Lindi.
Tags
HABARI ZA KITAIFA